RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA FEBRUARY 13, 2015

2

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu mjumbe maalum wa Serikali ya Burundi Sheikh Mohamed Rukara ambaye aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza February 13, 2015. Sheikh Mohamed Rukara ni Mkuu wa Utumishi katika serikali ya Burundi

1

  3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum wa Serikali ya Burundi kutoka wa mjumbe maalum Sheikh Mohamed Rukara ambaye aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza February 13, 2015.Sheikh Mohamed Rukara ni Mkuu wa Utumishi katika serikali ya Burundi

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe maalum wa Serikali ya Burundi baada ya kuupokea kutoka wa mjumbe maalum Sheikh Mohamed Rukara ambaye aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza February 13, 2015 Ikulu Dar es salaam. Sheikh Mohamed Rukara ni Mkuu wa Utumishi katika serikali ya Burundi

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *