Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Akabidhi tuzo ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binaadam aliyotunukiwa na Taasisi ya Kemet Butros Ghali (KBG) ya Misri Leo Tarehe 06 Desemba 2021 Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tuzo ya Heshima ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binadamu kwa Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim aliyotunukiwa na Taasisi ya Kemet Butros Ghali ya nchini Misri tarehe 06 Desemba, 2021 nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam. Anaepokea Tuzo hiyo kwa niaba yake ni mtoto wa Dkt. Salim, Ahmed Salim Ahmed.
.
.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *