Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akitangaza mabadiliko madogo ya Uongozi Serikalini Ikulu Jijini Dar es salaam Tarehe 03 Januari, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Taarifa  ndogo ya mabadiliko ya nafasi za Uongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,  Ikulu  Jijini Dar es Salaam  tarehe 03 Januari, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *