MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) NA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA NEC JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA13,2016

1

 

2

 

3Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC kabla ya kufungua rasmi Kikao hicho jijini Dar es Salaam Desemba 13,2016

6Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC wakifatilia kwa makini Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam

7Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Makamu Mwenyekiti wa (CCM Zanzibar) Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula kabla ya kuanza kikao hicho jijini Dar es Salaam.

8

 

9Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam

11

 

10Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana akitoa hotuba yake kabla ya kuanza kwa kikao hicho cha NEC jijini Dar es Salaam

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *