Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mtukufu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan, Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mtukufu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.

.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mtukufu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.
Post navigation
← Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa 36 wa Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2023
TAARIFA KWA UMMA →