RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI NOVEMBA 10,2016

1HGGDXG

 

unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mke wake mama Janeth Magufuli aliyelazwa katika Hospitali ya Muhimbili wodi ya Sewa Haji akipatiwa Matibabu Novemba 10,2016

unnamed-1 Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu  Novemba 10, 2016

unnamed-4

 

unnamed-5Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwafariji baadhi ya wagonjwa kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea kuona wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu hapo  Novemba 10, 2016

unnamed-2 Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwapongeza kwa kazi nzuri baadhi ya madaktari na wauguzi kwenye wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu leo Novemba 10, 2016

unnamed-3Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipungia mkono wananchi alipokuwa akitoka wodi ya  Sewa Haji katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam alipotembelea wagonjwa pamoja na mkewe ambaye anapatiwa matibabu Novemba 10, 2016

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *