RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AKAGUA UJENZI WA UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA DODOMA UNAOJENGWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MEI 16, 2015

5HVHVH     Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula

1

 

.

2 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM Mei 16,2015     3Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM 4   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma . 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *