RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA MEI 23, 2015

1

 

D92A3740

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Halmashauri kuu ya CCM unaofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma.

3

Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wakifuata kwa kamini hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi wa kikao hicho. Mei 23,2015

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *