RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIIKABIDHI TIMU YA SOKA YA KILIMANI SPORTS CLUB YA DODOMA JEZI NA MIPIRA KATIKA IKULU NDOGO YA MJINI DODOMA MEI 24, 2015

dwffwgrw

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi timu ya soka ya Kilimani Sports Club jezi na mipira katika ikulu ndogo ya mjini Dodoma Mei 24,2015 .Rais Kikwete alitoa msaada kwa timu hiyo baada ya kuwakuta vijana hao wakifanya mazoezi bila zana bora katika uwanja wa mpira ulioko eneo la Kilimani karibu na ikulu wakati Rais alipokuwa akifanya mazoezi ya kutembea katika eneo hilo. Wakiongea mara baada ya kupokea msaada huo vijana hao walimshukuru Rais Kwa moyo wake wa upendo na nia yake ya kukuza vipaji kwa vijana na kuahidi kufanya vyema katika ligi ya Wilaya ya Dodoma mjini

ANGALIA VIDEO

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *