RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO JUNI 24, 2015

unnamed-1

 

unnamed-2

 

unnamed

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015

unnamed-3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoma kwa Profesa Nerey Mvungi wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam juu ya Ubunifu wake wa kutengeneza mfumo wa kidigitali wa kusaidia kupambana na ajali barabarani  kabla hajafungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015

unnamed-4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoma kwa kijana Godfrey Magila wa Magilatech Company Ltd.  juu ya Ubunifu wake wa kutengeneza mfumo wa teknolojia ya mawasiliano rahisi  kabla hajafungua Kongamano la Nne la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 24, 2015

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *