Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dkt.Stephen Munga wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya ijili ya dayosisi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga Julai 05, 2015
Askofu Mkuu Wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dkt.Stephen Munga akimkaribisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya ijili ya dayosisi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga Julai 05, 2015
Picha katika maadhimisho ya Jubilee ya miaka 125 ya ijili ya dayosisi hiyo yaliyofanyika katika viwanja vya Mbuyukenda mjini Tanga Julai 05, 2015