RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AAPISHA JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI MMOJA NA MAMAJI 13 WA MAHAKAMA KUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 5, 2015

j1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha jaji Richard Eliakunda Samuel Mziray , kuwa jaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti 5, 2015   j2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Ignas Paul Samuel, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Lameck Michael Mlacha, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015    

j4

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Wilfred Peter Dyansobera, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Salma Mussa Chikoyo, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Isaya Kweka Arufani, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j7

 

 

j8

 

j9

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Sirillius Bertram Makarius Gwazidoro Matupa, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j10

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Julius Benedicto Mallaba, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j11

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Victoria Lyimo Makani, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j12

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Lucia Gamuya Kairo, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j13

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Rehema Joseph Kerefu, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j14

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Benhajj Shaaban Masoud, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j15

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Issa John Maige, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j16

 

j17

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Ndugu Adam Juma Mambi, kuwa jaji wa Mahakama ya Kuu Ikulu jijini dar es salaam leo Agosti  5, 2015  

j18

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla na Katibu Mkuu kiongozi katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu 13 na Jaji wa Mahakama ya Rufaa mmoja aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015

j19


Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla pamoja na Jaji mpya wa Mahakama ya Rufani aliyeapishwa Richard Eliakunda Samuel Mziray Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015

j20

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla na Katibu Mkuu kiongozi katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu  walioapishwa pamoja na watumishi wa Mahakama Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015

 

RAIS KIKWETE ATIA SAINI KURIDHIA MISWADA YA SHERIA MITANO HADHARANI IKULU, DAR ES SALAAM AGOSTI 4,2015

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini hati ya Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi Mwihava   

2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini hati ya Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi Mwihava   

4Rais Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nishati na Madini Mhe George Simbachawene baada ya kuweka saini kuridhia  Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam  

3

 

11Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi  Profesa Sifuni Mchomebaada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Tume ya Walimu Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam  

10Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Tume ya Walimu Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam kulia ni  Katibu Mkuu wa Wizara  hiyo Profesa Sifuni Mchome 

9

 

8Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kuridhia Muswada wa Tume ya Walimu Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Katibu Mkuu wa Wizara  hiyo Profesa Sifuni Mchome  

7Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu Waziri wa Fedha Dkt. Servacius Likwelile baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam.   

6Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam 

5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kuridhia Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na Katibu Mkuu wizara hiyo  Dkt. Servacius Likwelile

12Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilali, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Mheshimiwa George Simbachawene, Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa Saada Mkuya, Waziri wa Fedha na Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa,  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi baada ya hafla ya kuweka saini na kuridhia miswada ya  Sheria ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada wa Uwazi na Uwajibikaji, Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada wa Masoko ya Bidhaa na Muswada wa Tume ya Walimu.

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *