RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA UTAFITI NA TIBA DODOMA OCTOBA 13, 2015

1

 

2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya Afya hospitali hiyo leo wakati wa hafla ya ufunguzi. 

3 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la Msingi katika jengo jipya la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa, na Katikati ni Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe. 

4

 

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo. 

6 

7

 

8Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali mpya ya The Benjamin