MAMBO YALIVYOKUWA KWENYE HAFLA YA KUKABIDHIWA CHETI CHA URAIS KWA RAIS MTEULE DKT.JOHN POMBE MAGUFULI NA MAKAMU WAKE MTEULE MHE SAMIA SULUHU HASSAN OKTOBA 30, 2015

 Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa  Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

 Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa  Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

 Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe. Anna Mghwira  na wagombea wengine wakiwa  katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

 Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na  wagombea wengine wakielekea  ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam  tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

 Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan na Mhe Anna Mghwira na  wagombea wengine wakielekea  ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam  tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

 Viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya Jaji Damia Lubuva wakiwa tayari katika sehemu yao

 Meza kuu

 Mke wa Rais Mteule Mama Janet Mgufuli akisalimiana na Waziri wakuu wastaafu Mzee John Malecela na Jaji Joseph Sinde Warioba 

 Mama Janet Magufuli akisalimiana na Mama Salma Kikwete

 Rais Kikwete akisalimiana na Mama Janet Magufuli

 Mkrugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani akisoma muhtasari wa ratiba

 Meza ya viongozi

 Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama 

 Sehemu ya viongozi wa  taasisi mbalimbali na wastaafu

 Viongozi wa Taasisi mbalimbali

 Viongozi wa Taasisi mbalimbali

 Viongozi wa Taasisi mbalimbali

 Viongozi wa Taasisi mbalimbali na wananchi waliohudhuria

 Viongozi wa Taasisi mbalimbali

 Viongozi mbalimbali

 Viongozi wa Taasisi mbalimbali

 Viongozi wa Taasisi mbalimbali

 Viongozi wa Taasisi mbalimbali za umma na binfasi

 Viongozi wa asasi mbalimbali za umma na binafsi

 Wananchi kutoka sehemu mbalimbali

Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing akiwa ameketi na wananchi

 Sehemu ya wananchi na makada wa CCM

 Sehemu ya wananchi na makada wa CCM

 Sehemu ya wananchi na makada wa CCM

 Wanahabari

 Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi

 Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi

 Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi

 Wananchi toka sehemu mbalimbali

 Wanahabari na wananchi 

 Wananchi wakiwa na furaha

 Wananchi

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake

 Wananchi wakimsikiliza Jaji Damina Lubuva

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake

 Viongozi wa dini  na wananchi wakisikiliza

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake

 Vifijo toka kwa viongozi

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hati kabla ya kuikabidhi wa Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hati kabla ya kuikabidhi wa Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani

 Wanahabari wa ndani na nje ya nchi wakirekodi tukio hilo la kihistoria

 Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha hai ya Urais akiwa na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan, Jaji Damian Lubuva na Mhe Kailima Ramadhani

 Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha hai ya Urais akiwa na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan, Jaji Damian Lubuva na Mhe Kailima Ramadhani

 Viongozi wakishuhudia tukio hilo kwa furaha

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Lubuva akisoma hati ya Makamu wa Rais

 Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akipokea hati  yake

  Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha  hati  yake

 Rais Mteule na Makamu wake mteule wakipongezwa baada ya kukabidhiwa hati

 Rais mteule akipongezwa na waliokuwa wagombea wa Urais wa vyama vingine

 Rais Mteule Dkt Magufuli akimuonesha Mhe Anna Mghwira cheti cha Urais

 Rais Kikwete akimpongeza Rais Mteule

 “…Cheti ndiyo hiki….” anasema Rais Mteule kwa Rais Kikwete

 Wakikionesha cheti kwa furaha

 “….Huyu ndiye our new boss…” anasema Rais Kikwete

 Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais

 Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais na kupeana mikono na Rais wa Zamani wa Nigeria Mhe Goodluck Jonathan

 Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais kwa mabalozi

 Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais

 Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa

 Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe Anna Mghwira akiongea kwa niaba ya wagombea wengine wa vyama mbalimbali  walioshiriki kwenye kugombea Urais

 Wanahabari

 Rais Mteule akimpongeza Mhe Anna Mghwira kwa hotuba nzuri

 Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa tume na vyama vya siasa

 Wateule na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

.

 .

 .

 .

 .

 .

.

 .

 .

 .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *