Monthly Archives: October 2014

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE RASMI YA SIKU MBILI VIETNAM OCTOBER 28, 2014

unnamed

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete visits the Garment 10 Corporation textile mill at Nguyen Van Linh Street in Sai Dong Ward, Gia Lam District, Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam October 28, 2014

unnamed-1

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete shown some historical items as he visits the Garment 10 Corporation textile mill at Nguyen Van Linh Street in Sai Dong Ward, Gia Lam District, Hanoi on  his last leg of his two-day official visit to Vietnam October 28, 2014

unnamed-2

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete in a souvenir photo with workers of  the Garment 10 Corporation textile mill he visited at Nguyen Van Linh Street in Sai Dong Ward, Gia Lam District, Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam October 28, 2014

unnamed-3

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete visits the Hung Fen Food Stuff Corporation at Trung Son in Hanoi on his last leg of his two-day official visit to Vietnam October 28, 2014

unnamed-6

 

unnamed-5

 

unnamed-4

President Dr Jakaya Mrisho Kikwete lies a wreath at the Mausoleum of the First President Ho Chi Minh in Hanoi on  his last leg of his two-day official visit to Vietnam October 28, 2014

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWASILI NCHINI VIETNAM KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI OKTOBA 27, 2014

unnamed-2

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa  na mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam  wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikuluya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo Oktoba 27, 2014

unnamed-1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea shada la maua akishuhudiwana mwenyeji wake Rais Mhe Truong Tan Sang wa Vietnam  wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo Oktoba 27, 2014

unnamed

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Mhe TruongTan Sang wakikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa mapokezi yake rasmi katika Ikulu ya Hanoi katika siku yakwanza ya ziara yake rasmi  ya siku mbili nchini humo Oktoba 27, 2014

unnamed-3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam Ndugu Nguyen Phu Trong katika Makao Makuu ya Kamati Kuu ya Chama hicho tawala cha nchi hiyo Oktoba 27, 2014

5

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana baada ya kutembelea kampuni ya mawasiliano ya VIETTEL Oktoba 27, 2014