Daily Archives: February 13, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE FEBRUARI 13,2016

DSC_1746     Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadik akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuwahutubia wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Februari 13,2016  

DSC_1749Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Hemed Mkali akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuwahutubia wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Februari 13,2016  

DSC_1752Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Ramadhan Madabida akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuwahutubia wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Februari 13,2016  

DSC_1771

 

DSC_1776Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa Dini katika ukumbi wa Diamond Jubilee wakati alipokwenda kuwahutubia wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Februari 13,2016  

DSC_2014Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wazee wa Mkoa wa Dar es salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee Februari 13,2016

DSC_2128Meza kuu wakifuatilia Hotuba yaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

DSC_1816

 

DSC_2038

 

 

DSC_1863wazee wa Mkoa wa Dar es salaam wakifurahia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee Februari 13,2016

DSC_2043Mmoja wa wazee wa Mkoa wa Dar es salaam akimuombea Dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli huku akifurahia Hotuba ya Rais katika ukumbi wa Diamond Jubilee Februari 13,2016

DSC_1866Viongozi wa dini wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee wakati akihutubia wazee wa Mkoa wa Dar es salaam Februari 13,2016  

DSC_1792

 

DSC_1791Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwaaga wazee wa Mkoa wa Dar es salaam baada ya kuwahutubuia Februari 13,2016