Daily Archives: February 24, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA DKT. RICHARD SEZIBERA, KATIBU MTENDAJI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM FEBRUARI 24,2015

3e021a13-681e-40d7-a56f-df33b0056a50 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 24,2015 

3ef1fc5a-2bda-4998-8c45-00d36ff78532Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 24,2015 

22217f36-50b7-4f48-99e0-0d96fa84fdedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Dkt. Richard Sezibera, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 24,2015 baada ya mazungumzo