Daily Archives: June 7, 2016

RAIS. DKT JOHN POMBE MAGUFULI, APOKEA SHILINGI BILIONI 12 YA BAKAA YA KUTOKA TUME YA UCHAGUZI (NEC) JUNE 7,2016 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakimsiliza Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw.  Ramadhani  Kailima Kobwey wakati akitoa taarifa ya namna Tume ya Uchaguzi ilivyookoa kiasi cha shilingi Bilioni 12 zilizopangwa kutumika katika  uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015.

3

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw.  Ramadhani  Kailima Kobwey wakimsikiliza  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakati akitoa taarifa ya namna Tume ya Uchaguzi ilivyookoa kiasi cha shilingi Bilioni 12 zilizopangwa kutumika katika  uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015.

6111111Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Bilioni 12  kutoka kwa  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na  Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey ikiwa ni bakaa ya tume hiyo  zilizopangwa kutumika  na Tume ya Uchaguzi katika   uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. Leo june 7,2016 Ikulu jijini Dar es salaam

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru kwa moyo wa Uzalendo Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na  Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey baada ya kupokea bakaa ya Bilioni 12  zilizopangwa kutumika  na Tume ya Uchaguzi katika   uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015

8

 

10

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na  Mkurugenzi wa  uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey baada ya kupokea bakaa ya Bilioni 12  zilizopangwa kutumika  na Tume ya Uchaguzi katika   uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015 ikulu jijini dar ea salaam