Daily Archives: March 17, 2017

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATATUA MATATIZO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI KIJIJI CHA FUKAYOSI WILAYANI BAGAMOYO MKOA WA PWANI MARCH 17,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisiliza changamoto za wakulima na wafugaji katika kjijiji cha Fukayosi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama  kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro hiyo akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma Machi 17, 2017

Mmoja wa wananchi wa  kjijiji cha Fukayosi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani akielezea changamoto za wakulima na wafugani wa kijiji hicho kwa Rais aliposimama  kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro hiyo akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi ya Dodoma  Machi 17, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanakjijiji wa  Fukayosi wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani aliposimama  kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea  katika ziara ya kikazi ya Dodoma  Machi 17, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo kwa Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe. Maggid Mwanga baada ya kuongea na wanakjijiji wa  Fukayosi wilayani humo aliposimama  kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea  katika ziara ya kikazi ya Dodoma Machi 17, 2017.

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe. Maggid Mwanga akitoa ufafanuzi kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhusiana namigogoro kati ya wakulima na wafugaji wa kijiji chaFukayosi wilayani Bagamoyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiagana na wanakjijiji wa  Fukayosi wilayani humo aliposimama  kwa muda na hatimaye kutoa maelekezo ya namna ya kutatua migogoro kati ya wakulima na wafugaji  akiwa njia kuelekea Dar es salaam akitokea  katika ziara ya kikazi ya Dodoma  Machi 17, 2017.