Daily Archives: August 1, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA 21st CENTURY FOOD AND PACKAGING LTD JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging Mohamed Dewji kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali za kiwanda hicho jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging Mohamed Dewji kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali za kiwanda hicho jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging Mohamed Dewji mara baada ya uzinduzi wa kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua kiwanda hicho jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam.

 

 

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA RASMI TERMINAL lll YA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaonesha picha alizowapiga wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa ndani ya ndege ye ATCL ya Dreamliner iliyotua kutoka Mumbai  wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga Push Up na wasanii wa Tanzania One Theatre (TOT) wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam .Agosti 1, 2019. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa kazi nzuri ya kutumbuiza msanii wa Tanzania One Theatre (TOT) Plus Khadija Omar Kopa wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakifunua pazia kama ishara ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Agosti 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi kwa furaha akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry bin  Ally na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wakielekea kukata utepe wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akishuhudiwa na  Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine kuashiria ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam . Agosti 1, 201

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakifurahia baada ya kuingia kwenye ndege ya ATCL aina ya Dreamliner iliyotua kutokea Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam . Agosti 1, 2019

Wapiga picha wakifurahia kupigwa picha na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ndani ya ndege ya Dreamliner ya AITCL iliyowasili kutoka Mumbai  wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi   wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam .Agosti 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kuwapiga picha wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa ndani ya ndege ye ATCL ya Dreamliner iliyotua kutoka Mumbai wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Agosti 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakipigwa picha na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa  wakiwa ndani ya ndege ye ATCL ya Dreamliner iliyotua kutoka Mumbai  wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Agosti 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry bin  Ally wakitembezwa sehemu mbalimbali wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam .Agosti 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea kwa furaha na wafanyakazi wa Tawi la Benki ya NMB lililoko ndani ya  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya kuufungua rasmi. Agosti 1, 201

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na marubani wa ndege ye ATCL ya Dreamliner waliotua kutoka Mumbai  wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiondoka baada ya kuhitimisha sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Agosti 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya sherehe ya ufunguzi rasmi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam . Agosti 1, 2019