RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AONESHA UMAHIRI WAKE WA KUSHONA NGUO WAKATI ALIPOFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUVIFAHAMU VITENGO MBALIMBALI VYA OFISI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 20,2016

 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es salaam Januari 20, 2016 

 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi wa hali ya juu

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *