RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA PILI WA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 20,2016

4a1467fb-240e-4a86-a98c-ed1678238642

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ikulu jijini Dar es Salaam.

12sxkckj

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ikulu jijini Dar es Salaam. January 20,2016

466a2107-31c1-48b7-ad52-017269e153c2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kufanya nae mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *