Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtoto ambaye jina lake halikupatikana muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam Oktoba 05, 2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam Oktoba 05, 2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwaanga baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam Oktoba 05, 2014