RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA

xws

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la maendeleo ya Viwanda vidogo SIDO Bwana Omar Bakari akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mashine ya kutengeneza chakula cha mifugo na kusaga nafaka wakati Rais Kikwete alipotembelea banda la maonesho la SIDO Julai 4,2014 katika viwanja vya maonesho vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

qw

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua bustani ya mahindi wakati alipotembelea banda la Magereza katika viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam Julai 4,2014

Rais akipata maelezo kutoka kwa mhandisi wa Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) juu ya ujenzi wa Mji wa kisasa unaojengwa na unaojulikana kwa jina la Dege Eco Village utakaokuwa na nyumba za kuishi 7000 katika eneo la Dege Kigamboni jijini Dar es salaam mradi huo unatekelezwa kati ua NSSF kwa ushirikiano na kampuni ya AZIMIO, Kulia ni mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya NSSF.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *