RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA KILIMAJARO KIA AKITOKEA DAR ES SALAAM.APRILI 6,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Marubani pamoja na wahudumu wa Ndege ya abiria yaShirika la ndege Tanzania ( ATCL) wakati akielekea kupanda ndege hiyo kuelekea mkoani Kilimanjaro na badae mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa mkoani humo.Aprili 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ndege hiyo ya abiria ya Shirika la Ndege la ATCL kuelekea mkoani Kilimanjaro na baadae mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

Ndege ya abiria ya Shirika la ndege Tanzania (ATCL) aliyopanda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ikiwasili katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).Aprili 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuka katika ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la ATCL katika uwanja wa KIA  mkoani Kilimanjaro kabla ya kuanza safari ya kuelekea  mkoani Manyara.Aprili 6,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Marubani pamoja na wahudumu wa Ndege ya abiria ya Shirika la ndege Tanzania ( ATCL) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA mkoani Kilimanjaro kabla ya kuelekea mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa.Aprili 6,2018.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Marubani pamoja na wahudumu wa Ndege ya abiria ya Shirika la ndege Tanzania ( ATCL) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA mkoani Kilimanjaro kabla ya kuelekea mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa.Aprili 6,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru Marubani pamoja na wahudumu wa Ndege ya abiria ya Shirika la ndege Tanzania ( ATCL) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA mkoani Kilimanjaro kabla ya kuelekea mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa.Aprili 6,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwasalimia wafanyakazi na abiria waliokuwepo  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA mkoani Kilimanjaro kabla ya kuelekea mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za Kitaifa.Aprili 6,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *