Mufti Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania Shekhe Abubakary Zuberi akioomba dua maalumu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa niaba ya Viongozi wa Madhehebu yote ya Kiislamu Nchini walipokuatana kwaajili ya mazungumzo na Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoriki la Dar es salaam Mhadhama Policapy Kadinali Pengo akioomba dua maalumu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa niaba ya Viongozi wa Madhehebu yote ya Kikristo Nchini walipokuatana kwaajili ya mazungumzo na Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu Jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya dini alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya dini alipokutana nao Ikulu jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea wakati alipokutana na viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya dini Ikulu jijini Dar es salaam . Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja ba Viongozi wa makanisa mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 23, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja ba Viongozi wa makanisa mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam.Januari 23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja na watangazaji wa vipindi vya dini Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 23, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi Mhe Kangi Lugola katika picha ya pamoja na Mawaziri na Manaibu Waziri waliohudhuria mkutano huo Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 23, 2019