Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Winnie Korosso Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Sahel Barke Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Lugano Samson Mwandambo Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Dkt. Mary Levira Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Ignus Paul Kitusi Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Rehema Kerefu Sameji Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. John Rugalema Kahyoza Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bi. Susan Bernard Mkapa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Fahamu Hamidu Mtulya Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Cyprian Phocas Mkeha Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Willbard Richard Mashauri Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Dunstan Beda Ndunguru Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Seif Mwinshehe Kulita bKuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bi. Upendo Elly Madeha Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Yohane Bokobora Masara Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Mustapha Kambona Ismail Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Athumani Matuma Kirati Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Zepherine Nyalugenda Galeba Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Dkt. Ntemi Nimilwa Kilikamajenga Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bi. Dkt. Juliana Laurent MasaboKuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Dkt. Lilian Mihayo Mongella Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu Wakiapa kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Wakuu wa Wilaya wapya 2 wa Wilaya ya Mwanga na Tarime pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri 10 Wakiapa kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji 15 Mahakama Kuu. Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Majaji wapya wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu Wakitia saini hati za kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani mara baada ya kuwaapisha Majaji hao na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa Palamagamba Kabudi,Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu,Watumishi mbalimbali wa Mahakama mara baada ya kuwaapisha Majaji hao. Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa Palamagamba Kabudi,Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu na Viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya Dini mara baada ya kuwaapisha Majaji hao. Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa Palamagamba Kabudi,Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu, Wakuu wa Wilaya 2 na Wakurugenzi 10 wa Halmashauri, Mara baada ya kuwaapisha Majaji. Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Wakuu wa Wilaya wapya 2 wa Wilaya ya Mwanga na Tarime pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri 10 wakiwa katika hafla ya uwaapisho wa Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji 15 wa Mahakama Kuu .Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.