RAIS MHE. DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASALI IBADA YA JUMAPILI KATIKA PAROKIA YA MT. MATHIAS MULUMBA KALEMBA JIMBO KUU KATOLIKI LA SONGEA MKOANI RUVUMA.APRILI 7, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma katika Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya kuwachangia shilingi milioni tano kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakisalimiana na Masista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya Ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono waumini wa wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Mathias Mulumba Kalemba Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma mara baada ya ibada.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *