Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.

Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mama Janeth Magufuli akikagua Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya Rais Dkt.John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishangiliwa na Wanawake wa Lilongwe waliojitokeza katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kumlaki mara baada ya kukagua Tumbaku ambayo ipo tayari kwa kuuzwa alipotembelea pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara nchini Malawi.Aprili 25, 2019.
Watanzania wanaoishi nchini Malawi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kukagua Tumbaku alipotembelea katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe pamoja na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara nchini Malawi.Aprili 25, 2019.

Sehemu ya Wananchi wa Malawi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli huku mmoja akionyesha Picha yake wakati wa Sherehe ya Uzinduzi wa msimu wa Soko la biashara ya Tumbaku katika shehere zilizofanyika Kanengo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika,Mama Janeth Magufuli, Prof.Gertrude Mutharika Mke wa Rais wa Malawi huku wimbo wa Taifa wa Malawi Ukipigwa wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Msimu mpya wa Soko la Tumbaku zilizofanyika katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa Soko la Msimu mpya wa biashara ya Tumbaku katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe nchini Malawi.Aprili 25, 2019.

Sehemu ya Wananchi wa Malawi wakimshangilia kwa nyimbo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe wa Sherehe ya Uzinduzi wa msimu wa Soko la biashara ya Tumbaku katika shehere zilizofanyika Kanengo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya kumkabidhi zawadi katika sherehe zilizofanyika Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihotubia mbele ya Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika na wananchi wa Malawi katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe kabla ya kuzindua rasmi msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mama Janeth Magufuli akicheza ngoma pamoja na Mke wa Rais wa Malawi Prof.Grtrude Mutharika na Wanawake wa Malawi katika eneo la Kanengo Jijini Lilongwe wakati wa sherehe za Uzinduzi wa msimu wa Soko la biashara Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania unapigwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride Lililoandaliwa na Jeshi la Malawi kwaajili ya kumuuga katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania. Aprili 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kumuaga Mwenyeji wake na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika na Wananchi wa Malawi katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kamuzu kabla ya kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.Aprili 25, 2019.