Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka na Gari yake Binafsi katika Makao Makuu ya Ofisi za CCM White House Dodoma kuelekea Ofisi za CCM Mkoa Makole Dodoma na badae kurejea katika Ikulu ya Chamwino leo mara baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama kuteuliwa kuwa Mgombe katika Kiti cha Urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadae mwaka huu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka na Gari yake Binafsi katika Makao Makuu ya Ofisi za CCM White House Dodoma
Leave a reply