RAIS KIKWETE AAGANA NA MABALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA NA RWANDA JANUARI 09, 2015 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

7

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Jacky Zoka, Balozi wa Tanzania nchini Canada aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015 kuaga rasmi kabla ya kwenda kuripoti kwenye kituo chake cha kazi

5

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Ali Siwa, Balozi wa Tanzania nchini Rwanda aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015 kuaga rasmi kabla ya kwenda kuripoti kwenye kituo chake cha kazi

6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Mhe Jacky Zoka, Balozi wa Tanzania nchini Canada na Mhe Ali Siwa, Balozi wa Tanzania nchini Rwanda,  walipofika  Ikulu jijini Dar es salaam January 9,2015   kuaga rasmi kabla ya kwenda kuripoti kwenye vituo vyao vyakazi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *