ZIARA YA RAIS KIKWETE WILAYA YA MKINGA – TANGA

6

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga Julai 11,2014

D92A9361

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Cha Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing) Bi.Susan Omari(kushoto) akitoa maelezo na kisha kukabidhi kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mshine za kutengeneza matofali  aina ya Hydraform ambazo zitagawanywa kwenye wilaya zote za Mkoa wa Tanga ili kuwawezesha kuanzisha vikundi vya ujenzi vya vijana.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Luteni Mstaafu Chiku Galawa.Mashine hizo zilitolewa wakati wa Uzinduzi wa nyumba za bei nafuu Wilayani Mkinga Julai 11,2014

D92A9308

Rais Dkt.Jakaya Mrisho akipata maelezo juu ya mipango ya shirika la nyumba la lataifa (NHC) kuhusu kujenga nyumba aina hizo katika mikoa mingine hapa nchini .

D92A9284

 

9

 

4 (2)

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Felex Maagi Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati Rais alipokwenda kufungua nyumba za bei nafuu wilayani Mkinga Mkoa wa Tanga Julai 20147

 

10

 

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi waliokuwepo mara baada ya kufungua nyumba za bei nafuu wilayani Mkinga Mkoa wa Tanga Julai 2014

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *