Rais Jakaya Mrisho Kikweteakifanya mazungumzo na wajumbe wa wajumbe wa jopo maalum la kutathimin Program ya Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) iliyoongozwa na kwa Rais Mstaafu wa Botswana Mhe. Dkt. Festus Mogae (aliyekaa wa kwanza kula kwa Rais Kikwete) Ikulu jijini Dare s salaam January 16,2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi Tunzo maalum ya Vision 2025 Big Results Now kwa Rais Mstaafu wa Botswana Mhe. Dkt. Festus Mogae aliyeongoza jopo maalum la kutathimin Program ya Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa Ikulu jijini Dare s salaam January 16,2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi Tunzo maalum ya Vision 2025 Big Results Now kwa Dkt. Sipho Moyo Mkurugenzi mtendaji wa ONE wa kanda ya Africa alyekuwa mongoni wa wajumbe wa jopo maalum la kutathimin Program ya Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa Ikulu jijini Dare s salaam January 16,2015