Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo Februari 24, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubuia wakati akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es
salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo Februari 24,
2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge baada ya
kuzindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi
Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo Februari 24, 2021