RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KITUO KIKUU CHA MABASI CHA KIMATAIFA DAR ES SALAAM MBEZI LOUIS LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo Februari 24, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo Februari 24, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubuia wakati akizindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo Februari 24, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Abubakar Kunenge baada ya kuzindua rasmi kituo kikuu cha mabasi cha Dar es salaam cha Mbezi Louis tayari kwa kukifungua rasmi leo Februari 24, 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *