Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 24 Februari, 2021 amefungua daraja la juu katika makutano ya barabara ya Morogoro, Mandela na Sam Nujoma (Ubungo) lililoitwa Daraja la juu la Kijazi , Kijazi interchange