Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akipoke heshima za kijeshi ikiwa na kupigiwa mizinga 21 mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ikulu Dar es salaam leo 19 march 2021
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akielekea kukagua gwaride la heshima mara baada ya kuapa kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akiapa kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mara baada ya kifo cha aliekua rais wa Jamhuri ya muungano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kilichotokea tarehe 17 March Katika Hosptali ya Emilio Mzena jijini Dar es salaam alipokuwa
Jaji mKuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akimuapisha Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mara baada ya kifo cha aliekua rais wa Jamhuri ya muungano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kilichotokea tarehe 17 March Katika Hosptali ya Emilio Mzena jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya maradhi ya Moyo.
MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AAPA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA IKULU DAR ES SALAAM LEO
Leave a reply