Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na kiongozi na Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Ikulu February 7,2015, jijini Dar es salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo na kupata chakula cha usiku na kiongozi wa Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani, Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika February 7, 2015, Ikulu jijini Dar es salaam.
RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AENDELEA NA MAZOEZI KILA SIKU