Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt. Yukiya Amano Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 29,2014
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiomuonesha Mbegu za ubuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha tunda la ubuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano mara baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mti mkubwa wa mbuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano mara baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam, mti huo upo kwenye Bustani za Ikulu