RAIS KIKWETE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DKT YUKIYA AMANO

 

sfewfwe

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt. Yukiya Amano Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 29,2014

DC;LKDFK

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiomuonesha Mbegu za ubuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano 

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha tunda la ubuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano mara baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es SalaamD92A2477

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mti mkubwa wa mbuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano mara baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam, mti huo upo kwenye Bustani za Ikulu

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *