RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO RASMI NA WAZIRI MKUU WA INDIA JUNI 19 2015 Leave a reply Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo rasmi (Official talks) na Waziri Mkuu wa India na viongozi wandamizi wa serikali yake katika ikulu ya New Delhi India juni 19,2015