Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza, Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza na Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la pili na Ushupavu Jumanne Juni 23, 2015 katika ukumbi mpya wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya Muungano daraja la kwanza
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishaniya Utumishi wa muda mrefu na maadili mema daraja la kwanza
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na mtunukiwa wa Nishani ya Ushupavu Koplo Liberatus Tibaitirwa Ndyetabula wa Magereza (kushoto)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman wakiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya hafla hiyo.
Mtoto wa mtunukiwa nishani Florens Martin Turuka alipata bahati ya kutumia Ipad yake kupiga picha viongozi na watunukiwa nishani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Florens Martin Turuka baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Mhe. Sophia Elias Kaduma
Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Agatha Claud Swai
Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Scolastica Kitte Mwibale
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bw. Wilberforce Kahwa Kikwasi
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Maria Immaculate Buchard
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la pili Bi. Rosalia Marmo Massay
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Rosalia Marmo Massay
Rais Kikwete akimvisha nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Dkt. Moses Losolo Swai
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la Pili Bi. Dida Kalist Issuja
Rais Kikwete akimpongeza kwa nishani ya Utumishi Mrefu na Mema Daraja la Pili Bi. Asumpta Yepi Mbawala
Rais Kikwete akimpongeza kwa Nishani ya Ushupavu Koplo Liberatus Tibaitirwa Ndyetabula wa Magereza