Monthly Archives: October 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA TUME YA UTUMISHI WA UMMA DAR ES SALAAM OKTOBA 31, 2014

1gfff

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya ututmishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 30,201

2

Washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Utumishi wa Umma lililofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 30,2014 wakifuatilia kwa kina Hotuba ya ufunguzi ya kongamano hilo ya Mhe. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete 

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 10 ya Tume ya ututmishi wa Umma lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 30,201

 

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano la Maadhimiso ya miaka 10 ya tume ya Umma lililofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 30, 2014

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa tatu kushoto) pamoja na makatibu wakuu Kiongozi wastaafu Matern Lumbanga(kulia) na Philemon Luhanjo 

 

 

VIONGOZI WA MSONDO WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU OKTOBA 30, 2014

 2

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 30, 2014 .Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete Ikulu na kufanya naye mazungumzo

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika  picha ya pamoja na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma Ikulu jijini Dar es Salaam Oktoba 30, 2014.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete Ikulu na kufanya naye mazungumzo

RAIS KIKWETE AONDOKA VIETNAM BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI NCHINI HUMO OKTOBA 28, 2014

unnamed

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto),Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbunge wa Tumbe Mhe Rashid Ally Abdallah (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi Oktoba 28, 2014

unnamed-1

 

unnamed-2

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam Oktoba 28, 2014

unnamed-3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa  na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam Oktoba 28, 2014

unnamed-4

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  akiagana na  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi Oktoba 28, 2014