Daily Archives: October 16, 2014

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC DODOMA OKTOBA 16, 2014

1

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula wakati wa ufunguzi wa kikao cha NEC mjini Dodoma Oktoba 16, 2014

2

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC)  kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma  Oktoba 16, 2014.

3

wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (NEC)  katika kikao kilichofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma  Oktoba 16, 2014.