Daily Archives: November 6, 2014

RAIS KIKWETE AAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI NA MAKATIBU TAWALA WAPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NOV,06, 2014

 

1

 

2

 

3 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha na kumpa vitendea kazi Dkt Yohana Budeba kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 6, 20144

 

5

 

6 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha na kumpa vitendea kazi Injinia Mbogo Futakamba  kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 6, 20148

 

9 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha na kumpa vitendea kazi Dkt Donan Mmbando  kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 6, 2014 10

 

11

 

12 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha na kumpa vitendea kazi Mhe Jack Mugendi Zoka kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 6, 2014 13


14

 

15Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha na kumpa vitendea kazi Mhe Charles Pallangyo kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Geita  Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 6, 2014 16

 

17 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha na kumpa vitendea kazi  Bw, Adoh Stephen Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 6, 2014 18 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa wapya baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam 19

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania Nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka , pamoja na mabalozi wengine kutoka kushoto Balozi Joseph Sokoine. Balozi Simba Yahya  na Balozi Celestine Mushi, 20

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Dkt Ibrahim Hamisi Msangi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi  Ikulu jijini Dar es salaam21

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Halima Omary Denengo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara  Ikulu jijini Dar es salaam 22

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John Vianney Mongella kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera  Ikulu jijini Dar es salaam23

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidizi wa Rais Masuala ya Diplomasia Ikulu jijini Dar es salaam  

1

 Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani  Novemba 6, 2014 2

 Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meneja wa Emirates katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani Novemba 6, 2014