Monthly Archives: October 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWAAPISHA MANAIBU KATIBU WAKUU NA KATIBU TAWALA WA MKOA OKTOBA 26,2015

1 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(wapili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na waliapishwa keo.Kushoto ni Katbu Tawala Mkoa wa Katavi Ndugu Madeni kipande, wanne kushoto ni Naibu katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emmanuel Kalobelo na kulia ni Naibu Katibu Mkuu Mpya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ndugu Tixon Nzunda.

2vtfgtg

 

3 Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Ndugu Emannuel Kalobelo akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 26,2015

4bhhnhn Naibu Katibu Mkuu mpya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Ndugu Tixon Nzunda akila kiapo mbele ya Rais Kikwete Oktoba 26,2015 

5rghtggtKatibu Tawala mpya wa mkoa wa Katavi Mhandisi Madeni Kipande akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 26,2015 

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIPIGA KURA YA RAIS, MBUNGE NA DIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA CHA HOSPITALI YA KIJIJI CHA MSOGA 25, 2015

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura leo katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo Oktoba 25,2015  

4

2 Ofisa katika kituo cha kupigia kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga akihakiki kadi ya kupiga kura ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete

5 - CopyRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri kipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani

6   v vccx

 

7

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo  Kituo ambacho ndiko alipojiandikishia 

8

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka alama ishara ya kuwa tayari ameishapiga kura yake ya siri kuchagua Rais, Mbunge na Diwani