Daily Archives: November 9, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMEFANYA ZIARA YA GAFLA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI NOVEMBA 9,2015 NA AMJULIA HALI MKURUGENZI WA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU(LHRC) DKT.HELEN KIJO BISIMBA

2nbbsv

 

2

 

3

 

4

 

6

 

1

 

23

 

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amefanya ziara ya gafla katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kujionea halihalisi ya utoaji huduma mbalimbali katika wodi za Kibasila na Mwaisela hapa anasalimiana na wagonjwa waliolazwa hosptalini hapo Novemba 9,2015 3mbbbRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dkt. Helen Kijo-Bisimba aliyelazwa katika Hospitali ya Agha Khan baada ya kupata ajali mbaya ya Gari iliyotokea Novemba 8,2015 katika barabara ya Ali Hassani Mwinyi Jijini Dar es Salaam.