Monthly Archives: January 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWAAPISHA MNADHIMU MKUU WA JWTZ, BALOZI WA TANZANIA KUWAIT NA KATIBU TAWALA WA KATAVI NA MWANZA IKULU DAR ES SALAAM JANUARI 30,2016

0ddf1ee0-5b10-4078-8990-c861f195e169

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Dkt. Mahadhi Juma Maalim kuwa Balozi wa Tanzania  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

46180578-c451-43a5-b494-c1bac08d2614

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Dkt.  Mahadhi Juma Maalim baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

5af20b58-8cde-40f9-93de-3ef07e874e34

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha  Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo  kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

acfd8d3b-1529-4c0a-8203-969691d41508Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

3a75b21c-0d67-44aa-bebf-33354b668ad6

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

cf16117d-e293-4d38-9e54-5c5692da832c

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve baada ya kumuapisha  kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

3447d38a-92f1-4ad0-93c7-6f717a803d3c

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

48136f8a-036b-435e-98b3-5873f4fa847bRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi Kamishna wa Polisi  Paul Amani Moses Chagonja baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

 cf24a052-a07b-4563-a994-801967e8efcc

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Mstaafu Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba baada ya shughuli ya kiapo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

00c4a6e8-aee0-4046-92a9-4ecd32c2b2fc

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpongeza Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016   

6def23ce-2d2b-4e11-9bb7-7eafd8cba9d4

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na viongozi wa Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi  katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa Mnadimu Mkuu wa JWTZ, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

df9463e9-9b13-4567-9b1f-6d4051cfe866Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpongeza  Kamishna wa Polisi Clodwig Mathew Mtweve baada ya kumuapisha  kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

93dc6990-6eba-4150-a8f9-e1e877daadd1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpongeza  Kamishna wa Polisi Paul Amani Moses Chagonja baada ya  kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

2273cf04-a827-4301-b9f0-d1d145dfb8ff

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na viongozi wa Jeshi la Wananchi na Jeshi la Polisi  katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

e4fa72ef-24da-4b3a-aafd-4bf2aa9df35d

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ mpya  Luteni Jenerali Venance Salvatory Mabeyo  na  Mnadhimu Mkuu wa JWTZ  Mstaafu Luteni Jenerai (rtd) Samwel Ndomba Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

5b3b197b-8d04-408b-9ca7-f0af356d17bc

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipena mikono na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange  baada ya kuwaapisha Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

j19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipena mikono na Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Ernest Mangu baada ya kuwaapisha Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

j23

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na viongozi  baada ya kuwaapisha Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016

j26 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Abdulrahman Kaniki baada ya kuapishwa Mnadimu Mkuu wa TPDF, Balozi wa Tanzania Kuwait na  Katibu Tawala wa Mikoa ya Katavi na Mwanza Ikulu jijini Dar es salaam leo January 30, 2016