Daily Archives: April 19, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA RASMI DARAJA LA KIGAMBONI, ALIITA JINA LA DARAJA LA NYERERE APRIL 19,2016

 

1wdfRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Kigamboni kabla ya kufungua Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

114

 

 

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikata utepe huku viongozi wengine wakiushikilia kuashiria ufunguzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika Wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu viongozi wengine baada ya  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiteta jambo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt Ramadhani Dau wakati wa  uzinduzi rasmi wa Daraja la Kigamboni katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam Aprili 19, 2016

5

 

 

c1e90399-29af-42ae-befc-e589d001d959

 

cb1b7676-dc39-43a4-9b95-f8bd4d789041

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na viongozi wengine wakitembea juu ya Daraja la Kigamboni baada ya kulizindua katika wilaya mpya ya Kigamboni jijini Dar es salaam  Aprili 19, 2016

1QSC

 

2Muonekano wa daraja la kigamboni lililofunguliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MATHIAS MEINRAD CHIKAWE KUWA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI JAPAN APRIL 19,2016

11111hggrdghRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Meinrad Chikawe kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Ikulu jijini Dar es Salaam April 19, 2016

2

 

3Rais Dkt. Magufuli akimpongeza Mathias Meinrad Chikawe mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini Japani

4Rais Dkt. Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mathias Chikawe pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi Ikulu jijini Dar es Salaam