Monthly Archives: May 2017

AMIR JESHI MKUU RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA KAMISHNA WA POLISI SIMON SIRRO KUWA KAMISHNA GENERALI WA JESHI LA POLISI NCHINI MEI 29,2017 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

 

 

Amir jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvua cheo cha Kamishna wa Polisi Simon Sirro na kumvalisha cheo cha Kamishna Generali wa Jeshi la polisi nchini Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam

 

Amir jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule, Kamishna wa Polisi Simon Sirro kuwa Kamishna Generali wa Jeshi la Polisi Nchini Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam

Amir jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro mara baada ya kumuapisha Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam

 Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro akila kiapo cha maadili ya utumishi wa Umma mara baada ya kumuapisha  na Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  kuwa Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam

Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro  akisaini hati ya kiapo cha maadili ya utumishi wa Umma mara baada ya kuapishwa 

Kamshina Jenerali wa Polisi nchini Simon Sirro  mara baada ya kupandishwa cheo 

Kamshina Simon Sirro kabla ya  kupandishwa cheo kuwa Kamshina Jenerali wa Polisi nchini 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule, Kamishna Jenerali wa Jeshi la polisi nchini Simon Sirro mara baada ya kuapishwa Mei 29,2017 Ikulu jijini Dar es salaam

Amir jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Hassani Suluhu, Waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchema,Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma, Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule Simon Sirro, aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Erenest Mango, katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi, pamoja na Mkambishna mbalimbali wa Wizara ya mambo ya ndani katika picha ya pamoja

Amir jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule Simon Sirro na aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi Erenest Mango

Amir jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika akisalimiana na  aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi Erenest Mango

 

Amir jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akisalimia na makamanda mbalimbali wa polisi na Jeshi la wananchi wa tanzania mara baada ya kumuapisha  Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule Simon Sirro Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo na waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba mara baada ya kumuapisha  Mkuu wa Jeshi la Polisi Mteule Simon Sirro Ikulu jijini Dar es salaam

Wakuu wa vyombo vya Dola wakiwa wamepiga saluti 

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WAWAJULIA HALI WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM MEI 28,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru pamoja na Dkt. Juma Mfinanga Daktari Bingwa wa magonjwa ya Dharura na Ajali katika hospitali hiyo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mtoto Shukuru Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Shukuru alikuwa akidaiwa kuishi kwa kula Sukari, Maziwa na mafuta ya kula lakini hali yake imeimarika zaidi na kuanza kula vyakula vya kawaida. Katikakati ni Mama yake Shukuru Mwanahabibi Mohamed Mtei.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimtakia heri mtoto Shukuru Kisonga aliyelazwakatika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na Mama yake Mwanahabibi Mohamed Mtei.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa wengine waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Mujungu Museru mara baada ya kuwatembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi mbalimbali katika hospitali hiyo jijini Dar es Salaam.